VIDEO: Ahmed asimulia miaka mitatu yakuwa msemaji wa Simba

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema haikuwa rahisi kuwa msemaji kwa miaka mitatu kwakuwa timu yetu imebeba mioyo ya watu wengi ndani na nje ya nchi.

Ahmed amesema miongoni mwa vitu anavyojivunia ni kuifanya Idara yetu ya Habari kuzidi kukubalika kwa Wanasimba pamoja na kuifanya Klabu kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amesimulia kila kitu tangu siku ya kwanza alipopata nafasi hii.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER