VIDEO: Ahmed amezungumzia hali ya timu baada ya kufika Algeria

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema kikosi chetu kipo kwenye hali nzuri na Leo kitafanya mazoezi ya kwanza nchini Algeria kujiandaa na mchezo wa Jumapili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine.

Ahmed amesema hali ya hewa nchini Algeria ni baridi kali lakini kwa muda wa saa 72 ambao wachezaji wetu wamepata kabla ya siku ya mechi itasaidia kuwafanya kutokuwa na changamoto kubwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed atoa ratiba nzima ya timu kuanzia sasa mpaka siku ya mechi.ni Algeria kujiandaa na mchezo wa Jumapili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER