Tumepangwa na Gaborone United Ligi ya Mabingwa Afrika

Droo ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imekamilika na tumepangwa na Gaborone United kutoka Botswana.

Mchezo wa mkondo kwanza utapigwa Septemba 19-21 ambapo tutaanzia ugenini kabla ya kurejeana nyumbani kati ya Septemba 26-28.

Gaborone ambayo inadhaminiwa na Benki ya Botswana ndio Mabingwa wa nchi hiyo ambapo msimu uliopita walikusanya alama 66.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER