Timu yawasili salama Arusha

Kikosi chetu kimewasili salama jijini Arusha tayari kwa mchezo wa nusu fainali ya michuano ya CRDB Federation Cup dhidi ya Singida Black Stars utakaopigwa Jumamosi Uwanja wa Tanzanite Kwaraa.

Leo jioni kikosi kitafanya mazoezi ya utimamu wa mwili kufuatia mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars tuliopata ushindi wa bao moja

Kesho kikosi kitaanza safari ya kuelekea Manyara kwa ajili ya mchezo huo wa ambao utakaopigwa Jumamosi saa 10 jioni.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER