Timu yafanya mazoezi na kuanza safari kuelekea Singida

Kikosi chetu kimefanya mazoezi asubuhi katika Uwanja wa Mo Simba Arena ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars utakaopigwa dimba la CCM Liti Jumamosi saa 10 jioni.

Baada ya mazoezi hayo kikosi kitaanza safari ya kuelekea Singida kupitia Dodoma tayari kwa mchezo huo ambao tunategemea utakuwa mgumu.

Kikosi kitaondoka na wachezaji 23 ambao tunaamini watatupa alama tatu muhimu na kuendelea kubaki kileleni mwa msimamo.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER