Timu yaanza Maandalizi ya Nusu Fainali ASFC

Kikosi chetu kimeanza mazoezi katika Uwanja wa Nyamagana ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wetu wa Nusu Fainali ya Michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi.

Baada ya sare katika mchezo wa jana dhidi ya Geita Gold tunaelekeza nguvu zetu katika michuano ya ASFC ambapo tutashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba Jumamosi saa tisa alasiri.

Lengo letu ni kuhakikisha tunatetea ubingwa wa michuano hiyo na tutahakikisha tunashinda mchezo wa Jumamo

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER