Timu kurejea mazoezini Jumamosi

Baada ya ushindi wa bao moja tuliopata jana dhidi ya Bravo FC kutoka Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wachezaji wamepewa mapumziko ya siku mbili.

Kikosi kitarejea mazoezini Jumamosi kujiandaa na mchezo wa pili hatua ya makundi dhidi ya Constantine ya Algeria utakaopigwa Disemba, 8 saa moja usiku.

Jambo jema ni kwamba katika mchezo wa jana hakuna mchezaji aliyepata majeraha hivyo wote watarejea mazoezini Jumamosi wakiwa timamu.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER