Uongozi wa Klabu ya Simba umefikia makubaliano na pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Msaidizi Thierry Hitimana, kuanzia leo Desemba 28, 2021.
Simba inamshukuru Hitimana kwa mchango wake aliotoa kwa timu tangu alipojiunga nasi na tunatakia kila la kheri katika maisha yake popote aendako.
3 Responses
Ndioo
J