Simba Yangu ni program kwa ajili ya mashabiki wa klabu yetu ya Simba Sports Club. Lengo la program hii ni kuhakikisha tunawapa mashabiki wetu experience ya nguvu na yenye manufaa ya kipekee. Baadhi ya faida ni pamoja na tiketi za msimu, kupewa priority kwenye jezi, huduma za platnum uwanjani, dinner na wachezaji, na kadhalika.
Uanachama kwenye program ya Simba Yangu upo kwenye ngazi mbili: