Saba waitwa Taifa Stars

Nyota wetu saba wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi za kirafiki za Kimataifa pamoja na michuano ya COSAFA.

Taifa Stars itaingia kambini Jumatatu, Juni 2 kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) na mashindano ya COSAFA dhidi ya Eswatini na Madagascar.

Nyota hao walioitwa ni mlinda mlango Ally Salim walinzi Shomari Kapombe, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ na Abdulrazack Hamza.

Wengine ni viungo Yusuph Kagoma na Kibu Denis pamoja na mshambuliaji Valentino Mashaka

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER