Rweyemamu Meneja mpya wa timu

Patrick Rweyemamu ndiye Meneja mpya wa timu akichukua nafasi ya Mikael Igendia ambaye mkataba wake umemalizika.

Rweyemamu anarejea kwenye nafasi hiyo baada ya kupita mwaka mmoja kutokana na kupewa majukumu mengine kwenye timu ya vijana.

Tayari Rweyemamu amejiunga na kikosi nchini Misri kuendelea na maandalizi ya msimu mpya wa mashindano.

Kabla ya kubadilishiwa majukumu kwenda timu ya vijana Rweyemamu alikuwa Meneja wa timu eneo ambalo alihudumu kwa muda mrefu.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER