Wachezaji wetu watano wameitwa kwenye timu zao Taifa zinazojiandaa na michuano mipya ya FIFA Series 2024 itakayofanyika nchini Azerbaijan.
Nyota wanne wameitwa katika timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ na mmoja ameitwa na timu ya Taifa ya Tanzania ‘Chipolopolo’.
Wachezaji walioitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars ni Aishi Manula, Mohamed Hussein, Kennedy Juma na Kibu Denis wakati ni Chipolopolo ameitwa Clatous Chama.
Mashindano hayo ni mapya na mafupi ambayo yatafikia tamati Machi 27 huku kila timu ikicheza mechi mbili.