Simba Sports Club
News

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Namungo

3 May 2023 By simbasc 219 views
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu, Roberto Oliviera 'Robertinho' amefanya mabadiliko ya wachezaji saba ukilinganisha na kikosi kilichocheza mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca mwishoni mwa wiki. Kikosi kamili kilivyopangwa Ally Salim (1), Israel Patrick (5), Gadiel Michael (2), Joash Onyango (16), Kennedy Juma (26), Erasto Nyoni (18), Pape Sakho (10), Nassor Kapama (35), Jean Baleke (4), Saido Ntibanzonkiza (39), Peter Banda (11). Wachezaji wa Akiba Beno Kakolanya (30), Ahmed Teru (31), Jimmyson Mwanuke (21), Ismael Sawadogo (3), Jonas Mkude (20), Habibu Kyombo (32), John Bocco (22), Mohamed Mussa (14), Augustine Okrah (27).
Advertisement
Back to homepage
Share this story