read

news & Articles

Timu yawasili salama Libya

Kikosi chetu kimewasili salama nchini Libya tayari kwa mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Jumapili Septemba 15.

Timu kuondoka Jumatano kuelekea Libya

Kikosi chetu kitaondoka Jumatano Alfajiri kuelekea Libya tayari kwa mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Septemba 15.

TAARIFA KWA UMMA

Uongozi wa klabu ya Simba unautaarifu Umma kuwa Kocha Juma Ramadhani Mgunda hatokuwa sehemu ya benchi la ufundi la Simba Queens baada ya mkataba wake

Tumepata ushindi dhidi ya JKT Tanzania

Kikosi chetu kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kirafiki wa kimazoezi uliopigwa katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC