read
news & Articles

Tunatupa karata ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli kucheza na Al Ahli Tripoli katika mchezo wa hatua ya kwanza ya Kombe la Shirikisho

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Libya
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli tayari kwa mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya kwanza

Alichosema Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi

Queens yapangwa na Yanga Princess Ngao ya Jamii
Ratiba ya Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii kwa timu za Wanawake imetoka na tumepangwa kucheza na Yanga Princess. Michezo ya Ngao ya Jamii ni

VIDEO: Simba Queens yakabidhiwa milioni 10 za Bao la Mama
Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa amekabidhi kiasi cha Shilingi milioni 10 kwa Simba Queens ambazo ni ahadi ya hamasa kutoka

Timu yawasili salama Libya
Kikosi chetu kimewasili salama nchini Libya tayari kwa mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Jumapili Septemba 15.
