read
news & Articles

Tupo tayari kuikabili Coastal Union Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo wa leo

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa kesho.

Alichosema Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa dhidi ya Coastal
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal utakaopigwa katika Uwanja wa KMC Complex saa 10:15 jioni

Tumepoteza mbele ya Yanga Princess
Simba Queens imeshindwa kutinga fainali ya Ngao ya Jamii baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penati 3-4 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex. Mchezo

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Yanga Princess
Leo saa 10 jioni kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Yanga Princess katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao

Abdulrazack Hamza aitwa Taifa Stars
Baada ya kuonyesha kiwango safi tangu kuanza kwa msimu mlinzi wa kati Abdulrazack Hamza ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.
