read
news & Articles

Tupo tayari kwa Dabi ya Kariakoo
Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo wa

Camara afikia rekodi ya Manula
Mlinda mlango, Moussa Camara ameifikia rekodi ya Aishi Manula ya kutoruhusu bao (Clean sheet) 19 katika mechi za Ligi Kuu msimu huu. Manula alifanya hivyo

Tumechukua Pointi tatu za Kagera
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa KMC Complex.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Kagera Sugar
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu Fadlu

Tupo tayari kuikabili Kagera Sugar
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Kagera Sugar kwenye mchezo wa mzunguko wa 30 wa Ligi Kuu ya

Alichosema Kocha Matola kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Kagera Sugar
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho dhidi ya Kagera Sugar utakuwa mgumu lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda na kuchukua pointi tatu muhimu. Matola amesema