LIVE: MKUTANO MKUU WA WANACHAMA MWAKA 2022

 

Leo tunafanya Mkutano Mkuu wa kawaida kwa mujibu wa Katiba na moja ya Ajenda itakuwa ni uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia kwenye App hii.