Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya TMA Stars

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili TMA Stars katika mchezo wa hatua ya 32 bora ya michuano ya CRDB Federation Cup.

Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko makubwa ya kikosi ukilinganisha na kile kinachoonekana mara kwa mara katika mechi zetu nyingi zilizopita.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Valentin Nouma (29), Karaboue Chamou (2), Abdurazak Hamza (14), Augustine Okejepha (25), Ladaki Chasambi (36), Debora Fernandes (17), Leonel Ateba (13), Joshua Mutale (7), Awesu Awesu (23),

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (30), Kelvin Kijili (33),Omary Omary (8), Edwin Balua (37), Yusuph Kagoma (21), Steven Mukwala (11), Elie Mpanzu (34), Fabrice Ngoma (6), Valentino Mashaka (27). Alexander Erasto (42).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER