Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Kocha Fadlu Davids hajafanya mabadiliko yoyote kwenye kikosi cha leo ukilinganisha na kile kilichoanza mechi iliyopita dhidi ya Fountain Gate FC.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Abdulrazack Hamza (14), Che Fondoh Malone (20), Yusuph Kagoma (21), Ladaki Chasambi (36), Fabrice Ngoma (6), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba
Ally Salim (1), Karaboue Chamou (2), Valentine Nouma (29), Augustine Okejepha (25), Debora Fernandes (17), Edwin Balua (37), Joshua Mutale (7), Steven Mukwala (11), Valentino Mashaka (27). Okechi Nyembe (59).