Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Tabora United Leo

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa AlI Hassan Mwinyi kuikabili Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC tukiwa tunaanza mzunguko wa pili.

Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko makubwa ya kikosi ambapo mlinzi wa kati Abdulrazack Hamza ndiye mchezaji pekee aliyeanza kwenye mchezo uliopita wa CRDB Federation Cup dhidi ya Kilimanjaro Wonders Jumapili iliyopita.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Abdulrazack Hamza (14), Che Fondoh Malone (20), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).

Wachezaji wa Akiba

Ally Salim (1), Karaboue Chamou (2), Valentine Nouma (29), Mzamiru Yassin (19), Debora Fernandes (17), Ladaki Chasambi (36), Joshua Mutale (7), Steven Mukwala (11), Valentino Mashaka (27). Alexander Erasto (42).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER