Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Stellenbosch Leo

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Moses Mabhida kuikabili Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Kocha Mkuu, Fadlu Davids amepanga kikosi kile kile kilichocheza mechi ya mkondo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Amaan Zanzibar, Aprili 20 tulioibuka na ushindi wa bao moja.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2), Abdurazak Hamza (14), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Steve Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), David Kameta (3), Valentine Nouma (29), Edwin Balua (37), Debora Fernandes (17), Awesu Awesu (23), Leonel Ateba (13), Che Fondoh Malone (20).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER