Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuikabili Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amepanga kikosi kile kile kilichocheza mechi mbili za robo fainali ya michuano hii tuliyocheza dhidi ya Al Masry.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2), Abdurazak Hamza (14), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Steve Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), David Kameta (3), Valentine Nouma (29), Augustine Okejepha (25), Edwin Balua (37), Debora Fernandes (17), Awesu Awesu (23), Leonel Ateba (13), Joshua Mutale (26).