Leo saa nne usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Manispaa ya Berkane kuikabili RS Berkane katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika
Kocha Mkuu Fadlu Davids amekianzisha kikosi kile kile anachokitumia katika mechi zote kubwa.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2), Abdurazak Hamza (14), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), David Kameta (3), Valentine Nouma (29), Che Fondoh Malone (20). Augustine Okejepha (25), Debora Fernandes (17), Awesu Awesu (23), Steven Mukwala (11), Joshua Mutale (26).