Leo saa 12 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Mlinda mlango, Ally Salim ataendelea kusimama kwenye milingoti mitatu kutokana na kuonyesha kiwango safi kwenye mechi zilizopita.
Kikosi Kamili kilivyopangwa:
Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Henock Inonga (29), Erasto Nyoni (18), Peter Banda (11), Jonas Mkude (20), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (39), Kibu Denis (38).
Wachezaji wa Akiba
Beno Kakolanya (30), Ahmed Teru (31), Gadiel Michael (2), Nassor Kapama (35), Jimmyson Mwanuke (21), John Bocco (22), Habib Kyombo (32), Mohamed Mussa (14).