Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Kilimanjaro Wonders kwenye mchezo wa hatua ya 64 ya CRDB Federation Cup.
Kocha Fadlu Davids amewapa nafasi wachezaji wengi ambao hawakucheza mechi nyingi za Ligi pamoja na michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Ally Salim (1), David Kameta (3), Valentine Nouma (29), Karaboue Chamou (2), Abdulrazack Hamza (14), Augustine Okejepha (25), Ladaki Chasambi (36), Mzamiru Yassin (19), Valentino Mashaka (27), Awesu Awesu (23), Joshua Mutale (7),
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (30), Kelvin Kijili (33), Hussein Kazi (4), Yusuph Kagoma (21), Omary Omary (8), Steven Mukwala (11), Debora Fernandes (17), Edwin Balua (37), Alexandra Erasto (42).