Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya JKU Leo

Leo saa 2 15 usiku kikosi chetu kirashuka katika Uwanja umejaa New Amaan Complex kuikabili JKU katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi.

Wachezaji waliopo kikosini ni wale ambao hawapo kwenye majukumu ya timu za Taifa zinazoziandaa na michuano ya AFCON.

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Ayoub Lakred (40), Shomari Kapombe (12), David Kameta ‘Duchu’ (3) Hussein Kazi (16),Che malone (20), Fabrice Ngoma (6), jimmyson Mwanuke (21), Sadio Kanoute (8), Moses Phiri (25), Shaban Chilunda (27), Luis Miquissone (11).

Wachezaji wa Akiba:
Ahmad Feruz (31), Abdallah Khamis (13), Salehe Karabaka, (23) Willy Onana (7), John Bocco (22), Mohamed Mussa (14). Jean Baleke (4),

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER