Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika uwanja Benjamin Mkapa kuikabili Fountain Gate FC katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC.
Kaimu kocha mkuu Hemed Suleiman ‘Morocco’ atakiongoza kikosi chetu kwenye mchezo wake kwanza huku pia ukiwa ni wa kwanza wa kufungulia msimu.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Naby Camara (30), Karaboue Chamou (2), Rushine De Reuck (23), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Mzamiru Yassin (19), Jonathan Sowah (3), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba:
Yakoub Suleiman (22), David Kameta(15), Anthony Mligo (5), Wilson Nangu (31), Allasane Kante (8), Morice Abraham (18), Steven Mukwala (11), Seleman Mwalimu (40), Neo Maema (35), Joshua Mutale (7).