Kikosi chetu leo saa 10:15 jioni kitashuka katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa kuikabili Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na mchezo uliopita dhidi ya Tabora United.
Fadlu amemuanzisha Ladaki Chasambi akichukua nafasi ya Kibu Denis ambaye alipata maumivu kwenye mchezo uliopita.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Abdulrazack Hamza (14), Che Fondoh Malone (20), Yusuph Kagoma (21), Ladaki Chasambi (36), Fabrice Ngoma (6), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba
Ally Salim (1), Karaboue Chamou (2), Valentine Nouma (29), Augustine Okejepha (25), Debora Fernandes (17), Edwin Balua (37), Joshua Mutale (7), Steven Mukwala (11), Valentino Mashaka (27). Alexander Erasto (42).