Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Dodoma Jiji

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Dodoma Jiji katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Mlinzi wa kulia David Kameta ‘Duchu’ ameanza kwenye mchezo wa leo akichukua nafasi ya Shomari Kapombe ambaye anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Ally Salim (1), David Kameta (3), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2), Abdurazak Hamza (14), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Steven Mukwala (11), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).

Wachezaji wa Akiba:

Hussein Abel (30), Kelvin Kijili (33), Valentine Nouma (29), Augustine Okejepha (25), Debora Fernandes (17), Ladaki Chasambi (36), Awesu Awesu (23),Leonel Ateba (13), Valentino Mashaka (27). Alexander Erasto (42).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER