Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya CS Sfaxien

Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Hammadi Agrebi kuikabili CS Sfaxien katika mchezo wa nne wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Kocha, Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja ukilinganisha na kile kilichocheza mechi ya mwisho ya Ligi dhidi ya Singida Black Stars.

Kocha Fadlu amemuanzisha Leonel Ateba akichukua nafasi ya Steven Mukwala ambaye ameanzia benchi.

Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Abdurazack Hamza (14), Che Malone Fondoh (20), Yusuph Kagoma (21) Denis Kibu (38), Fabrice Ngoma (6), Lepnal Ateba (13), Elie Mpanzu (34), Jean Charles Ahoua (10)

Wachezaji wa Akiba:

Ally Salim (1), Kelvin Kijili (33), Karaboue Chamou (2), Augustine Okejepha (25), Mzamiru Yassin (19), Ladaki Chasambi (36), Debora Fernandes (17), Steven Mukwala (11), Awesu Awesu (23).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER