Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Bigman FC

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Bigman katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya CRDB Federation Cup.

Pamoja nakuwa Bigman ni timu ya Championship lakini hatutaidharau na tutaingia uwanjani kwa tahadhari zote lengo likiwa kuhakikisha tunavuka na kutinga robo fainali.

Kikosi kamili kilichopangwa:

Hussein Abel (30), Kelvin Kijili (33), Valentin Nouma (29), David Kameta (3), Hussein Kazi (4), Fabrice Ngoma (6), Elie Mpanzu (34), Debora Fernandes (17), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Joshua Mutale (7),

Wachezaji wa Akiba:

Aishi Manula (28), Karaboue Chamou (2), Augustine Okejepha (25), Ladaki Chasambi (36), Awesu Awesu (23),Omary Omary (8), Edwin Balua (37), Steven Mukwala (11), Valentino Mashaka (27). Alexander Erasto (42).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER