Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Suez Canal nchini Misri kuikabili Al Masry katika mchezo wa robo fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Mlinda mlango Moussa Camara amerejea kikosini baada ya kukosekana katika michezo kadhaa kutokana na kupata majeraha.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (40), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2), Abdurazak Hamza (14), Yusuph Kagoma (21), Kibu Denis (38), Fabrice Ngoma (6), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Elie Mpanzu (34).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), David Kameta (3), Valentine Nouma (29), Augustine Okajepha (25), Ladaki Chasambi (36), Debora Fernandes (17), Awesu Awesu (23), Steven Mukwala (11), Joshua Mutale (26).