Baada ya shamrashamra, shangwe na utambulisho wa wachezaji kinachofuata ni mchezo wa kirafiki kimataifa dhidi ya Power Dynamos kutoka Zambia.
Tayari Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amekiweka wazi kikosi kitakachotuwakilisha kwenye mchezo huu ambao Wanasimba wataiona timu yao kwa mara ya kwanza kuelekea msimu mpya wa mashindano 2023/24.
Hiki hapa kikosi Kilichopangwa:
Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Fondoh Malone (20), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (8), Willy Essomba Onana (7), Mzamiru Yassin (19), Kibu Denis (38), Said Ntibazonkiza (39), Clatous Chama (17).
Wachezaji wa Akiba:
Ahmed Feruzi (31), Israel Patrick (5), David Kameta (3), Kennedy Juma (26), Hussein Kazi (16), Fabrice Ngoma (6), Aubin Kramo (24), Abdallah Hamis (13), Jean Baleke (4), Moses Phiri (25), John Bocco (22), Peter Banda (11). Hussein Abel (30)