Leo kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kuikabili Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa wa kilele cha Tamasha la Simba Day.
Kocha Fadlu Davids amewaanzisha wachezaji watano ambao tumewasajili katika dirisha hili la usajili kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026.
Nyota hao ni Anthony Mligo, Rushine De Reuck, Naby Camara, Neo Maema pamoja na mshambuliaji Jonathan Sowah.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (26), Ladaki Chasambi (36), Anthony Mligo (5), Rushine De Reuck (23), Karaboue Chamou (2), Mubarak Hamza (14), Kibu Denis (38), Naby Camara (30), Jonathan Sowah (3), Jean Charles Ahoua (10), Neo Maema (35).
Wachezaji wa Akiba:
Hussein Abel (28), Vedastus Masinde (4), David Kameta (15), Shomari Kapombe (12), Hussein Mbegu (42), Yusuph Kagoma (21), Allasane Kante (8), Morice Abraham (18), Elie Mpanzu (34), Bashir Salum (63), Joshua Mutale (7), Awesu Awesu (33), Steven Mukwala (11), Seleman Mwalimu (40), Yakoub Suleiman (22), Alexander Erasto (60)