Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Karume mkoani Mara kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) dhidi ya Bunda Queens.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Wincate Kaari (29), Ruth Ingosi (20), Violeth Nicholaus (26), Esther Mayala (23), Elizabeth Wambui (4), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Asha Djafari (24), Precious Christopher (8).
Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yonah (21), Dotto Evarist (2), Emeliana Mdimu (15), Mary Saiki (19), Ritticia Nabbosa (17), Asha Rashid ‘Mwalala’ (14), Shelda Boniface (9), Mwanahamisi Omary (7), Amina Bilali (11).