Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Obeid Ituni Chilume kuibali Jwaneng Galaxy katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Hiki hapa kikosi kilichopangwa
Ayoub Lakred (36), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Henock Inonga (29), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Kibu Denis (38), Sadio Kanoute (8), Jean Baleke (4), Said Ntibazonkiza (10), Willy Onana (7).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), Israel Patrick (5), Hussein Kazi (16), Kennedy Juma (26), Mzamiru Yassin (19), Luis Miqussone (11), Caltous Chama (17), Moses Phiri (25).