Kikosi cha Wachezaji 22 kitakachosafiri kuelekea Algeria

Kikosi chetu kitaondoka kesho Alfajiri kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wetu wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ambao utapigwa Disemba, 8.

Mchezo huo ambao utakuwa wa pili wa hatua ya makundi utapigwa katika Uwanja wa Chahid Hamlaoui saa 11 jioni nchini Algeria ambapo hapa nyumbani itakuwa saa moja usiku.

Hiki hapa kikosi kamili kitachosafiri:

Makipa

1. Moussa Camara
2. Aishi Manula
3. Ally Salim

Mabeki

4. Che Fondoh Malone
5. Karaboue Chamou
6. Abdurazak Hamza
7. Shomari Kapombe
8. Mohamed Hussein
9. Valentin Nouma
10. Kelvin Kijili

Viungo

11. Mzamiru Yassin
12. Debora Fernandes
13. Fabrice Ngoma
14. Ladaki Chasambi
15. Augustine Okejepha
16. Omary Omary
17. Edwin Balua
18. Kibu Denis
19. Jean Charles Ahoua
20. Awesu Awesu

Washambuliaji

21. Leonel Ateba
22. Steven Mukwala

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER