Leo saa mbili usiku kikosi cha timu yetu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Ihefu katika muendelezo wa Ligi ya vijana inayoendelea.
Kikosi Kamili kilivyopangwa:
Jonathan Sikazwe (40), Isack Emmanuel (45), Abdultwaha Binjo (43), Pasco Mligo (41), Emmanuel Gerrard (54), Omary Mfaume (53), Seif Suleiman (36), Hassan Mussa (52), Samson Emmanuel (48), Mohamed Mussa (52), Shaffih Hassan (51).
Wachezaji wa Akiba:
Mwarami Mohamed (50), William Baraka (57), Mudrik Kabisu (58), Raphael Steven (44), Stamford Nixon (34), Benjamin Raphael (42), Hassan Kassim (46), Maulid Juma (49) Abdulaziz Salum (47).