Kikosi cha Simba Queens kitakachotuwakilisha dhidi ya Baobab Leo

Baada ya ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Ceasiaa Queens tuliopata wiki iliyopita kikosi chetu cha Simba Queens kinarejea tena dimbani Leo kuikabili Baobab Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi saa 10 jioni.

Msimu huu kila timu tumeipa umuhimu sawa sababu tunahitaji alama tatu katika kila mchezo.

Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:

Carolyene Rufa (28), Fatuma Issa (5), Dotto Everist (11), Daniella Ngoyi (22), Esther Mayala (23), Vivian Corazone (17), Joelle Bukuru (18), Aisha Juma (10), Joanitah Ainembabazi (24), Asha Djafar (24), Mwanahamisi Omary (7).

Wachezaji wa Akiba:

Janeth Shija (25), Ruth Ingosi (20), Diakiese Kaluzodi (13), Diana Mnali (15), Asha Rashid (14), Koku Kipanga (19), Violeth Nicholaus (26), Jackine Albert (16), Elizabeth Wambui (4).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER