Leo saa 10 jioni tunashuka katika Uwanja wa John Merlins kuikabili Gets Program katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).
Nyota wawili Janeth Shija na Ritticia Nabbosa ambao kwenye mchezo uliopita walianzia benchi leo wameanza kikosi cha kwanza.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Wincate Kaari (29), Violeth Nicholaus (26), Ruth Ingosi (20), Ritticia Nabossa (27), Asha Djafari (24), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Aisha Juma (10), Precious Christopher (8).
Wachezaji wa Akiba:Wilfrida Seda (40), Dotto Evarist (2), Emeliana Isaya (15), Jackline Albert (16), Janeth Nyagali (12), Shelda Boniface (9), Mwanahamisi Omary (7), Mary Saiki (19), Zawadi Athumani (36).