Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Ceasiaa Queens

Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Ceasiaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) saa 10 jioni.

Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 4-2 iliyopata dhidi ya Fountain Gate Princess katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa wiki iliyopita.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Wincate Kaari (29), Violeth Nicholaus (26), Ruth Ingosi (20), Esther Mayala (23), Elizabeth Wambui (4), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Aisha Juma (10), Precious Christopher (8).

Wachezaji wa Akiba:

Gelwa Yonah (21), Shelda Boniface (9), Emeliana Mdimu (15), Janeth Nyagali (12),
Mwanahamisi Omary (7), Asha Rashid (14), Amina Bilali (11), Ritticia Nabbosa (27), Asha Djafari (24).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER