Timu yetu ya Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga Princess kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) ambao utaanza saa 10 jioni.
Kama kawaida Kocha Sebastian Nkoma ameanza na kikosi kile kile ambacho kimekuwa kikitupatia ushindi kwenye mechi zetu zote.
Licha ya kuwa kwenye kiwango bora zaidi ya wapinzani wetu lakini hii ni Derby na lolote linawezekana hivyo hatutaingia kwa kuwadharau.
Kikosi Kamili kilivyopangwa
1. Gelwa yonah GK (21)
2. Silvia Mwacha (12)
3. Violeth Machela (3)
4. Wema Richard (13)
5. Julieth Singano (19)
6. Fatuma Issa (5)
7. Olaiya Barakat (9)
8. Joelle Bukuru (18)
9. Pambani Kuzoya (17)
10. Jackline Albert (16)
11. Asha Djafar (24)
Wachezaji wa Akiba
1. Janeth Shija GK (30)
2. Maimuna Hamis (28)
3. Mercy Tagoe (27)
4. Koku Kipanga (22)
5. Aisha Juma (10)
6. Violeth Nicholaus (26)
7. Amina Ramadhan (25)
8. Zubeda Mgunda (8)