Leo saa 10 jioni katika Uwanja wa Uhuru kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka dimbani kuikabili Baobab Queens katika mchezo wa raundi ya nane ya Ligi ya Wanawake Serengeti Lite Women’s Premier League.
Hiki hapa kikosi kilivyopangwa
Janeth Shija (30), Esther Bessa (23), Dotto Evarist (11), Violet Nicholas (26), Ruth Ingosi (20), Danai Bhobho (40), Vivian Corazone (4), Mwanahamisi Omary (70), Pambani Kuzoya (17), Opa Clement (7), Jentrix Shikangwa (25).
Wachezaji wa Akiba
Gelwa Yona (21), Daniela Ngoyi (22), Wema Richard (3), Aisha Juma (10), Joelle Bukuru (18), Asha Djafar (24), Asha Rashid (33), Topister Situma (13), Zainabu Mohamed (8).