Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Mlandizi

Simba Queens leo saa nane mchana kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Mlandizi Queens katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).

Mshambuliaji kinara, Aisha Juma ambaye hakuwa na kikosi kwa mzunguko wa kwanza mzima amerejea kundini na ameanza kwenye kikosi cha kwanza.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Dotto Evarist (2), Violeth Nicholaus (26), Ruth Ingosi (20), Esther Mayala (23), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Aisha Juma (10), Asha Djafari (24), Precious Christopher (8).

Wachezaji wa Akiba:

Gelwa Yonah (21), Wincate Kaari (29), Emeliana Mdimu (15), Janeth nyagali (12), Amina Bilali(11), Shelda Boniface (9), Zawadi Hamisi (36), Ritticia Nabbosa (27), Jackline Albert (16).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER