Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Mkwawa mkoani Iringa kuikabili Mkwawa Queens katika mchezo wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League (SWPL).
Kikosi Kamili kilivyopangwa:
Caroline Rufa (28), Wema Richard (3), Fatuma Issa (5), Esther Erastus (23), Diana Mnaly (15), Ruth Ingosi (20), Danai Bhobho (40), Vivian Corazone (4), Asha Djafar (24), Asha Mlangwa (33), Jentrix Shikangwa (25).
Wachezaji wa Akiba:
Janeth Shija (30), Dotto Evarist (11), Vaileth Nicholas (22), Pambani Kuzoya (17), Mwanahamisi Omary (7), Zainabu Mohamed (8), Joelle Bukuru (18), Olaiya Barakat (9), Koku Kipanga (19).