Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili JKT Queens

Leo saa 10 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa na kocha Yussif Basigi:

Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Dotto Evarist (2), Ruth Ingosi (20), Violeth Nicholas (26), Esther Mayala (23), Elizabeth Wambui (4), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Ritticia Nabbosa (27), Precious Christopher (8).

Wachezaji wa Akiba:

Gelwa Yonah (21), Wincate Kaari (29), Emeliana Mdimu (15), Josephine Julius (6), Amina Bilal (11), Asha Djafar (24), Asha Rashid ‘Mwalala’ (14), Shelda Boniface (9), Mwanahamisi Omary (7).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER