Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Nyankumbu mkoani Geita kuikabili Geita Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake.
Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa:
Carolyene Rufa (28), Fatuma Issa (5), Ruth Ingosi (20), Daniella Ngoyi (22), Esther Mayala (23), Vivian Corazone (17), Ritticia Nabbosa (27), Aisha Juma (10), Jentrix Shikangwa (25), Asha Djafar (24), Elizabeth Wambui (4).
Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yona (21), Dotto Evarist (11), Mwanahamisi Omary (7), Danai Bhobo (40), Olaiya Barakat (9), Silvia Thomas (12), Joanitah Ainembabazi (16), Shelda Boniface (39), Asha Rashid (14).