Kikosi chetu cha Simba Queens leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuikabili Fountain Gate Princes katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara.
Hiki hapa Kikosi kilichopangwa
Carolyene Rufa (28), Fatuma Issa (5), Ruth Ingosi (20), Daniella Ngoyi (22), Violeth Nicholaus (26), Vivian Corazone (17), Danai Bhobo (40), Aisha Juma (10), Jentrix Shikangwa (25), Asha Djafar (24), Elizabeth Wambui (4).
Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yona (21), Dotto Evarist (11), Mwanahamisi Omary (7), Ritticia Nabbosa (27), Esther Mayala (23), Wema Richard (3), Joanitah Ainembabazi (16),Koku Kipanga (19), Diakiese Kaluzodi (13).