Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Baobab Queens

Leo saa 10 jioni kikosi cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuikabili Baobab Queens katika mchezo wa ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League (SWPL).

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Carolyne Rufa (28), Wema Richard (3), Fatuma Issa (5), Violeth Nicholas (26), Dotto Evarist (11), Ruth Ingosi (20) Joelle Bukuru (18), Vivian Corazone (4), Asha Djafar (24), Mwanahamisi Omary (7), Jentrix Shikangwa (25).

Wachezaji wa Akiba:

Janeth Shija (30), Esther Erastus (23), Diana Mnali (15), Silvia Thomas, Amina Hemed (14), Danai Bhobho (40), Olaiya Barakat (9), Zainab Mohamed (8), Asha Rashid (33).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER